Application Maalum ya Simu za Android Yenye lengo la kukuonesha fursa Za Online ambazo zitaweza kukupatia pesa endapo utaamua kujishughulisha nazo.
Aidha Application hii au wamiliki wa Application hii hawahusiki na utoaji wa Mikopo ya aina yoyote ile na wala usidanganyike kuhusu Huduma za mikopo,ikiwa unataka mikopo nenda ofisi za taasisi za kifedha zinazotoa mikopo.EPUKA MATAPELI...!